Monthly Archives: July 2019

Ushuhuda (K.K.)

  Kuna hii Nishati ambayo inapotumika vizuri au wakati wanadamu wakiwa chini yake na kuoanishwa nayo kwa njia sahihi inatoa uwezo wa kusafiri kwenye Ngazi na Vipimo vya Juu. Nikiwa katika ya Viumbe wengi ghafla nilikuwa na utambuzi wa ngazi ya maumbile ambayo kwa kawaida sikuwa na ufahamu wake. Wakati nachunguza ukweli niligundua kuwa viumbe wengine walikuwa na ufahamu wa… Read more →

Ukweli au Imani Bila Kuuliza (Dogma)

  Watu wengi wamekuzwa katika familia ambazo ni washiriki wa kanisa au kikundi cha dini. Tangu wakiwa na umri mdogo wanafundishwa nini cha kuamini na kutoamini. Hii si lazima kufanyika kwa makusudi; ikiwa kila mtu anayekuzunguka unafikiri kwa namna fulani ni ngumu kuwa mkweli na mwadilifu na kuendeleza mawazo yako mwenyewe. Dini nyingi pengine zilizuka wakati wa Kweli. Kwa mfano,… Read more →