Hili imetoka kwa Samuel* kwa wale wanaotaka kujiponya. Njia rahisi, fupi kwa mtu yeyote kufanya mazoezi, katika umri wowote, na hauhitaji ujuzi wowote. Kama vile unavyoweza kufanya mazoezi, kila siku, kuleta Mwanga na Upendo katika maisha yako unaweza pia kuleta uponyaji. Ni kidogo sana kinachoeleweka kuhusu mwili wa mwanadamu; kuna mambo mengi sana yanayotokea ndani ya kila mtu ambayo… Read more →
Msukumo
Ujumbe kutoka kwa Uongozi wa Kiroho
Watu wengi wanapokea Ujumbe kutoka Ngazi za Juu za Maumbile kwa wakati huu. Ngazi za juu za Kiroho zimejaa idadi kubwa ya Viumbe Inteligent ambao kila moja ana ajenda zao na malipo. Njia ya Tahajudi ya Mwanga na Sauti ambayo tunazungumza inasimamiwa na Kikundi tunachokiita Uongozi wa Kiroho. Hili ni jina ambalo tumewapa. Tunafahamu kuwa wengi wao wamekuwa na… Read more →
Kuwaelewa Uongozi wa Kiroho
Dini mara nyingi hulenga sifa za kibinadamu kwa Mungu na miungu (Deities) yao kama njia ya kujaribu kuielewa. Kwa hivyo ni kawaida kusoma kuwa Wana miili kama ya kibinadamu, hisia na akili. Wengi wanaelewa kuwa hii ni kweli kwa sababu watu ambao wamekutana na Viumbe hawa kwa ujumla huripoti ilivyo hapo juu. Walakini, njia ambayo jambo linaonekana sio lazima… Read more →
Mawasiliano toka Mbinguni
Mwalimu wetu mmoja Mkuu wa Mwanga na Sauti hivi karibuni ameachia mwili wake wa kimwili na kupaa kwenye ngazi za juu za Mbinguni. Baada ya siku 3 alifanya Mawasiliano yake ya kwanza na tunatumaini kuwa kutakuwa na mengi zaidi. Tunataka kuweza kuwahusisha na kuwaletea ujumbe na maneno yake na kwa hivyo tumetengeneza ukurasa maalum kwenye tovuti yetu ya Uamsho… Read more →
Ushuhuda (K.K.)
Kuna hii Nishati ambayo inapotumika vizuri au wakati wanadamu wakiwa chini yake na kuoanishwa nayo kwa njia sahihi inatoa uwezo wa kusafiri kwenye Ngazi na Vipimo vya Juu. Nikiwa katika ya Viumbe wengi ghafla nilikuwa na utambuzi wa ngazi ya maumbile ambayo kwa kawaida sikuwa na ufahamu wake. Wakati nachunguza ukweli niligundua kuwa viumbe wengine walikuwa na ufahamu wa… Read more →
Ukweli au Imani Bila Kuuliza (Dogma)
Watu wengi wamekuzwa katika familia ambazo ni washiriki wa kanisa au kikundi cha dini. Tangu wakiwa na umri mdogo wanafundishwa nini cha kuamini na kutoamini. Hii si lazima kufanyika kwa makusudi; ikiwa kila mtu anayekuzunguka unafikiri kwa namna fulani ni ngumu kuwa mkweli na mwadilifu na kuendeleza mawazo yako mwenyewe. Dini nyingi pengine zilizuka wakati wa Kweli. Kwa mfano,… Read more →
Yohana Mbatizaji
Huenda ikawa kwamba Ubatizo wa Yesu ni Mfano wa awali wa Initiation kwenye Mwanga na Sauti. Kuna baadhi ya maeneo ya kuvutia ya hadithi ambayo yana thamani kuyachunguza. Kwanza, Yohana anamwambia Yesu, “Ni mimi ambaye nahitaji kutafuta Ubatizo kutoka kwako!” Kisha Yesu anamweleza Yohana kuwa amekosea na kwa shingo upande anambatiza. Hii inaonyesha kuwa Yohana alikuwa Adept wa Mwanga… Read more →
Kujifunza Masomo ya Maisha
Tunaambiwa kuwa lengo la maisha hapa Duniani ni kujifunza masomo. Haya yanaweza kuwa yenye asili ya kiakili lakini muhimu zaidi ni yale tunayojifunza kwa mahusiano na watu wengine. Mahusiano wa binadamu ni tata sana na ya aina mbalimbali. Kwa mfano wakati sisi tunashiriki katika baadhi ya shughuli kuna ‘ “watu watatu” wanaohusika, sisi wenyewe, kile tunachofikiria ni sisi na… Read more →
Ego
Kusudi la maisha ya mwanadamu ni mambo mawili, kupenda na kujifunza. Tunaendeshwa katika miaka yetu ya mwanzo na ego zetu; zinahitaji usikivu kwetu wenyewe na wale walio karibu yetu. Kwa maneno mengine sisi ni wabinafsi na tanafuta ubinafsi. Hii ni kawaida na asili tu kwani tuna tamaa ya kuishi. Kwa watu ambao wanazaliwa katika mazingira magumu hii inaweza kuwa… Read more →
Zawadi Kubwa Kuliko Zote
Zawadi kubwa mtu anayoweza kupokea ni ile ya kupanua Ufahamu. Zawadi nyingi huzorota, kufifia na baada ya muda hutupwa na kubadilishwa. Hata hivyo, Zawadi ya kupanua Ufahamu ni ya kudumu na inabakia na mtu kwa maisha yake yote. Ni bure kabisa kwani haikadiriki. Milele hakuna malipo kwa ajili ya Mantra au Kuanzishwa (Initiations). Walimu wetu hutafakari “Kanuni ya Lipia… Read more →