Msukumo

Ushirikiano (S.C.)

  Sisi ni Mabwana ya Upendo na Mwanga Sisi tunafurahi sana kwamba wewe uko hapa, Sisi tunayo mengi ya kukushirikisha; ni muhimu kwamba nchi zote duniani kushirikiana kuleta kazi ya Mwanga na amani ya Mwanga, kujulikana. Adepts na Initiate wana haja ya kushirikiana pamoja, kuna wafanyakazi wapya wa Mwanga wanajitokeza kote duniani, Kuna haja ya kuwa na mahali pa mtandao… Read more →

Je! Tovuti inaposti kila Ujumbe?

  La, baadhi ndogo sana ya ujumbe unapostiwa kweli kwenye tovuti. Nyingi, hata hivyo, zinatumwa kuongoza Kundi katika kueneza Wimbimwanga (Lightwave) mpya na baadhi zinaweza kuwa za kibinafsi. Ni Wimbimwanga (Lightwave) hii ambayo inawawezesha watu kuwa na ufahamu wa Mwanga na Sauti ya Kiroho. Wakati Wanatahajudi kwenye Nguvu hizi husafiri Njia inayoongoza kwenye Ukombozi Wa Ufahamu wa Kiroho (Enlightenment). Hivi… Read more →

Nawezaje kuwasiliana na Uongozi wa Kiroho?

  Kwanza, tunahitaji kueleza kuwa hatuwasiliani nao, Wao, wanawasiliana na sisi. Hii inaweza kutokea kwa njia kadhaa. Kwa wengine hutokea kikawaida muda wowote bila kutegemea, kwa wengine inaweza kutokea katika ndoto. Hata hivyo, idadi kubwa ya watu inaonekana kugundua kuwapo kwao wakati wa kutahajudi kwa kina. Awali inaweza kuchukua mfumo wa Uwepo laini, kwa kawaida huhisiwa karibu na kichwa. Hii… Read more →

Uongozi wa Kiroho ni Nini au Nani hasa?

  Uongozi wa Kiroho ni jina tunalowapa Viumbe wengi wasio na idadi wanaoishi katika Vipimo vya Juu au ngazi za juu za Ulimwengu. Baadhi, lakini sio wote, wamekuwa na maisha ya hapa duniani na wakati mwingine hujulikana kama ‟Ascended Masters”. Baadhi ya Viumbe hawa wanayo mawasiliano na watu Duniani kote. Mawasiliano hutokea kwa kawaida wakati mtu anatahajudi lakini pia yanaweza… Read more →

‟Ascension” Itaanza lini?

  Tunaelewa kutoka kwa Uongozi wa Kiroho kwamba ‟Ascension” haitakuwa tukio la janga lakini mchakato wa taratibu na upole. Watu wanavyoanzishwa zaidi na zaidi kwenye Nguvu za Mwanga na Sauti zitaanza kuwa na ongezeko la athari nzuri kwenye Sayari hii na ni wakazi wake. Utaratibu na mchakato huu umeanza na kuna ishara nyingi zinazoonyesha hili. Tumeelezea kuwa watu ulimwenguni pote… Read more →

“Ascension” Imeanza

  Tunaelewa kutoka Uongozi wa Kiroho kwamba Ascension haitakuwa tukio la ghafla lakini taratibu na mchakato laini na wa polepole. Jinsi watu zaidi na zaidi wanavyoanzishwa, Nugvu za Mwanga na Sauti zitaanza kuwa na athari nzuri zaidi kwenye Sayari hii na wakazi wake. Mchakato tayari umeanza na kuna dalili nyingi zinazoonyesha hii. Sisi tayari tulishataja kwamba watu Duniani kote wanakuwa… Read more →

“Ascension”

Mengi yameandikwa kwenye maandiko ya dini na ya mafundisho ya siri kuhusu Ascension. Pia tunawasilisha ujumbe kutoka kwa Uongozi wa Kiroho ambao unatabiri hali kama hiyo. Je, inawezekana kufikiria ni jinsi gani mabadiliko hayo yatakavyokuwa? Jibu rahisi ni HAPANA! Tunaambiwa kwamba Ascension hutokea kutokana na ongezeko la mzunguko wa ‟vibration”. Hii inaonyesha kuwa njia tunayoweza kuona mazingira yetu inngebadilika sana.… Read more →

Maisha au Safari ya Nafsi

  Makala yafuatayo ni katika kurahisisha mafudisho tuliyopokea hivi karibuni kutoka kwa Uongozi wa Kiroho Kwanza tunahitaji kufafanua baadhi ya maneno: Kiini – Kile ambacho kweli ni Wewe na daima kinaendelea kubaki kwenye Ngazi au Ulimwengu wa Kiroho. Nafsi – Sehemu ya Kiini ambayo inachukuwa mwili. Wakati nafsi iko karibu kuchukua mwili Kiini au kile ambacho kweli ni Wewe hutayarisha… Read more →

Neema kutoka kwa Uongozi wa Kiroho

  Kihistoria, Hali zote za Ufahamu zilitolewa na mtu ambaye alikua Enlightened; walikuwa mara nyingi wakijulikana kama Guru au Masters. Enlightenments ilielekea kuwa adimu na ilikuwa kawaida kwa mwalimu kuamua wakati gani mtahajudi yuko tayari kupokea Nguvu ya Kiroho (mara nyingi hujulikana kama Neema). Njia hii bado inatumika leo na hufanya kazi vizuri kwa makundi madogo, lakini inakuwa na matatizo… Read more →

Miungu, Waokozi na Uongozi wa Kiroho

  Makala hii imeandikwa kama jaribio la kuwasilisha kwa msomaji kwa mfupi mfumo ambao anaweza kuelewa historia mbalimbali za Kiroho na kueleza asili zao. Karibu dini zote za zamani hazikuwa na Mungu mmoja na zilisherehekea kuwepo kwa Miungu mingi. Ushahidi wa kuunga mkono unaweza kupatikana kufikia nyuma hadi umri wa Saba na Chuma (Bronze and Iron ages). Hivi karibuni zaidi,… Read more →