Mawasiliano

Sisi ni kundi la Waalimu wazoefu na wataalamu wa Kutahajudi kwenye Mwanga na Sauti ya Kiroho. Kwa wakati huu sisi tumewasiliana na Uongozi wa Kiroho ambao Wanatuma Nguvu kwa Watahajudi kuweza kupata Ukombozi wa Ufahamu wa Kiroho au “Enlightenment”.
 
Kama una swali lolote kuhusu Uongozi Wa Kiroho au Tahajudi ya Mwanga na Sauti tafadhali BOFYA HAPA na utaongozwa kwenye ukurara wa mawasiliano wa Tovuti yetu ya Tahajudi.

Tunafurahi kujibu maswali kuhusu mada kama vile:

  • Uongozi Wa Kiroho
  • Tahajudi Kwa ujumla
  • Tahajudi Ya Pumzi
  • Tahajudi Ya Mantra
  • Tahajudi ya Mwanga na Sauti
  • Safari Ya Kiroho

Kama walimu wa kutahajudi na viongozi, tuko hapa kuwasikiliza na kuwatumikia. Tumia lugha yoyote iliyo rahisi kwako, tutafurahia kutafsiri mawasiliano yako na tuna walimu wengi wa kutahajudi wanaozungumza lugha mbalimbali.