Love

Upendo ni Muhimu

  Hii ni habari za kusisimua kuhusu MABADILIKO MAKUBWA yanayokaribia kuja. Huna uwezo wa kuiona kikamilifu, yaani, jinsi Dunia itakavyokuwa – lakini kwa hakika unaweza kuamini inaweza kutokea. Tunahitaji watu ZAIDI kubadilisha mawazo yao ili kuamini kinachotokea ni KWELI na Dunia itapunguza kushikilia vitu vya kimwili na kwa ujumla na furaha zaidi. Ni rahisi sana kwetu kukuambia Ukweli huu wa… Read more →

Kutuma Upendo kwa Sayari

  Uongozi unataka kuunganisha uwezo wetu wa Kutahajudi kutuma Upendo kwenye Sayari. Njia hii ni sawa na utumaji wa Nguvu za kuponya ambazo baadhi yenu huenda tayari wanafanya. Mchakato huo ni rahisi na wa kutosheleza. Jaribu kufanya utoaji wa Upendo kuwa sehemu ya mazoezi yako ya kutahajudi kila siku. Kaa kwa faraja wakati mgongo umenyooka kuelekea juu vizuri na weka… Read more →

Taswira ya Upendo

  Ngazi hii ya maumbile ya kimwili imejaa madhihiriso na maonyesho mazuri tunayoyaona tunapo‟vibrate” kwa hali ya juu. Leo nilisikia kuhusu mashambulizi ya kigaidi. Watu huzungumzia mashambulizi na hujazwa na chuki dhidi ya washambuliaji. Wanaongea hivyo kwa sababu wanaogopa. Hofu inaunganisha washambuliaji na waathirika pamoja. Kama tukitazama kwa upeo zaidi, mateso na maumivu yanayosababishwa na chuki na hofu hayajaanzia Ulaya,… Read more →

Upendo

  Upendo ni Nguvu isiyo na mipaka ambayo inazunguka Uumbaji wote. Mahali popote unapoangalia kuna Upendo, kwa sababu kila kitu ambacho unaweza kuona, kuhisi na kugusa kipo kwa sababu yake. Kila kitu kimeunganika, hivyo kila wazo, tendo au neno linarekodiwa. Hakuna kitu kinachopotea: maneno yaliyosemwa kwa hasira yana nguvu zaidi na husababisha uharibifu zaidi hivyo jaribu kuwa mpole zaidi katika… Read more →

Zaidi Kuhusu Upendo

Kutoka kwa Uongozi wa Kiroho imeandikwa sawa kama ilivyopokelewa. Tumeshaelezea kuwa Upendo ni kanuni ambayo inazunguka kila kitu na kila kitu kipo kwa sababu yake. Ikiwa hivyo ndivyo ilivyo kwa nini kuna vita vingi duniani? Je! Hii haiendi kinyume cha asili ya mtu? Kwa nini inakuwa kwamba katika dunia ambayo ipo kwa sababu ya Upendo kunaweza kuwa na chuki sana… Read more →

Uhusiano

Hii itaeleza matatizo ambayo watu wanayo katika mahusiano yao ya karibu: Wakati unachukua mwili (incarnation) mara zote kuna masomo ya maisha yaliyopangwa kabla ya kuzaliwa. Haya yanaweza kuwa kitu chochote kutoka kujifunza kuhusu uhusiano mbaya, mtoto kufariki au tu kwa ujumla kukabiliana na heka heka za maisha. Watu wengi wanaona ni vigumu kukabiliana na chati (patterns) ambazo zinazuka katika maisha… Read more →