Uhusiano

Hii itaeleza matatizo ambayo watu wanayo katika mahusiano yao ya karibu:
Wakati unachukua mwili (incarnation) mara zote kuna masomo ya maisha yaliyopangwa kabla ya kuzaliwa. Haya yanaweza kuwa kitu chochote kutoka kujifunza kuhusu uhusiano mbaya, mtoto kufariki au tu kwa ujumla kukabiliana na heka heka za maisha. Watu wengi wanaona ni vigumu kukabiliana na chati (patterns) ambazo zinazuka katika maisha yao. Mara tu wakielewa kwamba hivyo ni vielelezo ambavyo hujitokeza kwenye “mifumo” yao, basi watakuwa na furaha na afya njema zaidi. Watu wengine wapo kuwaonyesha baadhi ya mambo kwenye maisha yao wenyewe na wanavyozidi kuyapinga ndivyo yanavyozidi kujitokeza.

Post navigation