Monthly Archives: March 2016

Taswira ya Upendo

  Ngazi hii ya maumbile ya kimwili imejaa madhihiriso na maonyesho mazuri tunayoyaona tunapo‟vibrate” kwa hali ya juu. Leo nilisikia kuhusu mashambulizi ya kigaidi. Watu huzungumzia mashambulizi na hujazwa na chuki dhidi ya washambuliaji. Wanaongea hivyo kwa sababu wanaogopa. Hofu inaunganisha washambuliaji na waathirika pamoja. Kama tukitazama kwa upeo zaidi, mateso na maumivu yanayosababishwa na chuki na hofu hayajaanzia Ulaya,… Read more →

Upendo

  Upendo ni Nguvu isiyo na mipaka ambayo inazunguka Uumbaji wote. Mahali popote unapoangalia kuna Upendo, kwa sababu kila kitu ambacho unaweza kuona, kuhisi na kugusa kipo kwa sababu yake. Kila kitu kimeunganika, hivyo kila wazo, tendo au neno linarekodiwa. Hakuna kitu kinachopotea: maneno yaliyosemwa kwa hasira yana nguvu zaidi na husababisha uharibifu zaidi hivyo jaribu kuwa mpole zaidi katika… Read more →