Monthly Archives: October 2018

Je! Tovuti inaposti kila Ujumbe?

  La, baadhi ndogo sana ya ujumbe unapostiwa kweli kwenye tovuti. Nyingi, hata hivyo, zinatumwa kuongoza Kundi katika kueneza Wimbimwanga (Lightwave) mpya na baadhi zinaweza kuwa za kibinafsi. Ni Wimbimwanga (Lightwave) hii ambayo inawawezesha watu kuwa na ufahamu wa Mwanga na Sauti ya Kiroho. Wakati Wanatahajudi kwenye Nguvu hizi husafiri Njia inayoongoza kwenye Ukombozi Wa Ufahamu wa Kiroho (Enlightenment). Hivi… Read more →

Nawezaje kuwasiliana na Uongozi wa Kiroho?

  Kwanza, tunahitaji kueleza kuwa hatuwasiliani nao, Wao, wanawasiliana na sisi. Hii inaweza kutokea kwa njia kadhaa. Kwa wengine hutokea kikawaida muda wowote bila kutegemea, kwa wengine inaweza kutokea katika ndoto. Hata hivyo, idadi kubwa ya watu inaonekana kugundua kuwapo kwao wakati wa kutahajudi kwa kina. Awali inaweza kuchukua mfumo wa Uwepo laini, kwa kawaida huhisiwa karibu na kichwa. Hii… Read more →

Uongozi wa Kiroho ni Nini au Nani hasa?

  Uongozi wa Kiroho ni jina tunalowapa Viumbe wengi wasio na idadi wanaoishi katika Vipimo vya Juu au ngazi za juu za Ulimwengu. Baadhi, lakini sio wote, wamekuwa na maisha ya hapa duniani na wakati mwingine hujulikana kama ‟Ascended Masters”. Baadhi ya Viumbe hawa wanayo mawasiliano na watu Duniani kote. Mawasiliano hutokea kwa kawaida wakati mtu anatahajudi lakini pia yanaweza… Read more →

‟Ascension” Itaanza lini?

  Tunaelewa kutoka kwa Uongozi wa Kiroho kwamba ‟Ascension” haitakuwa tukio la janga lakini mchakato wa taratibu na upole. Watu wanavyoanzishwa zaidi na zaidi kwenye Nguvu za Mwanga na Sauti zitaanza kuwa na ongezeko la athari nzuri kwenye Sayari hii na ni wakazi wake. Utaratibu na mchakato huu umeanza na kuna ishara nyingi zinazoonyesha hili. Tumeelezea kuwa watu ulimwenguni pote… Read more →