Je! Tovuti inaposti kila Ujumbe?

 

La, baadhi ndogo sana ya ujumbe unapostiwa kweli kwenye tovuti. Nyingi, hata hivyo, zinatumwa kuongoza Kundi katika kueneza Wimbimwanga (Lightwave) mpya na baadhi zinaweza kuwa za kibinafsi.

Ni Wimbimwanga (Lightwave) hii ambayo inawawezesha watu kuwa na ufahamu wa Mwanga na Sauti ya Kiroho. Wakati Wanatahajudi kwenye Nguvu hizi husafiri Njia inayoongoza kwenye Ukombozi Wa Ufahamu wa Kiroho (Enlightenment).

Hivi karibuni, tangu Septemba 2018, idadi ya ujumbe zilizopostiwa kwenye tovuti imeongezeka kwa kasi vilevile pia idadi ya watu wanaosoma yaliyomo kwenye tovuti.