Nick Howell

15th October 2017

We, the Lords of Light will be giving you some inspiring words on Initiation – it should be seen as a mystery, otherwise Initiates will see it as an intellectual exercise and won”t “let go” into the Majesty and Beauty of that which can be observed. It should also be said that what is observed shows the Initiate the things… Read more →

“Ascension” Imeanza

  Tunaelewa kutoka Uongozi wa Kiroho kwamba Ascension haitakuwa tukio la ghafla lakini taratibu na mchakato laini na wa polepole. Jinsi watu zaidi na zaidi wanavyoanzishwa, Nugvu za Mwanga na Sauti zitaanza kuwa na athari nzuri zaidi kwenye Sayari hii na wakazi wake. Mchakato tayari umeanza na kuna dalili nyingi zinazoonyesha hii. Sisi tayari tulishataja kwamba watu Duniani kote wanakuwa… Read more →

“Ascension”

Mengi yameandikwa kwenye maandiko ya dini na ya mafundisho ya siri kuhusu Ascension. Pia tunawasilisha ujumbe kutoka kwa Uongozi wa Kiroho ambao unatabiri hali kama hiyo. Je, inawezekana kufikiria ni jinsi gani mabadiliko hayo yatakavyokuwa? Jibu rahisi ni HAPANA! Tunaambiwa kwamba Ascension hutokea kutokana na ongezeko la mzunguko wa ‟vibration”. Hii inaonyesha kuwa njia tunayoweza kuona mazingira yetu inngebadilika sana.… Read more →

Upendo ni Muhimu

  Hii ni habari za kusisimua kuhusu MABADILIKO MAKUBWA yanayokaribia kuja. Huna uwezo wa kuiona kikamilifu, yaani, jinsi Dunia itakavyokuwa – lakini kwa hakika unaweza kuamini inaweza kutokea. Tunahitaji watu ZAIDI kubadilisha mawazo yao ili kuamini kinachotokea ni KWELI na Dunia itapunguza kushikilia vitu vya kimwili na kwa ujumla na furaha zaidi. Ni rahisi sana kwetu kukuambia Ukweli huu wa… Read more →

Kutuma Upendo kwa Sayari

  Uongozi unataka kuunganisha uwezo wetu wa Kutahajudi kutuma Upendo kwenye Sayari. Njia hii ni sawa na utumaji wa Nguvu za kuponya ambazo baadhi yenu huenda tayari wanafanya. Mchakato huo ni rahisi na wa kutosheleza. Jaribu kufanya utoaji wa Upendo kuwa sehemu ya mazoezi yako ya kutahajudi kila siku. Kaa kwa faraja wakati mgongo umenyooka kuelekea juu vizuri na weka… Read more →

Taswira ya Upendo

  Ngazi hii ya maumbile ya kimwili imejaa madhihiriso na maonyesho mazuri tunayoyaona tunapo‟vibrate” kwa hali ya juu. Leo nilisikia kuhusu mashambulizi ya kigaidi. Watu huzungumzia mashambulizi na hujazwa na chuki dhidi ya washambuliaji. Wanaongea hivyo kwa sababu wanaogopa. Hofu inaunganisha washambuliaji na waathirika pamoja. Kama tukitazama kwa upeo zaidi, mateso na maumivu yanayosababishwa na chuki na hofu hayajaanzia Ulaya,… Read more →

Upendo

  Upendo ni Nguvu isiyo na mipaka ambayo inazunguka Uumbaji wote. Mahali popote unapoangalia kuna Upendo, kwa sababu kila kitu ambacho unaweza kuona, kuhisi na kugusa kipo kwa sababu yake. Kila kitu kimeunganika, hivyo kila wazo, tendo au neno linarekodiwa. Hakuna kitu kinachopotea: maneno yaliyosemwa kwa hasira yana nguvu zaidi na husababisha uharibifu zaidi hivyo jaribu kuwa mpole zaidi katika… Read more →

Maisha au Safari ya Nafsi

  Makala yafuatayo ni katika kurahisisha mafudisho tuliyopokea hivi karibuni kutoka kwa Uongozi wa Kiroho Kwanza tunahitaji kufafanua baadhi ya maneno: Kiini – Kile ambacho kweli ni Wewe na daima kinaendelea kubaki kwenye Ngazi au Ulimwengu wa Kiroho. Nafsi – Sehemu ya Kiini ambayo inachukuwa mwili. Wakati nafsi iko karibu kuchukua mwili Kiini au kile ambacho kweli ni Wewe hutayarisha… Read more →

Neema kutoka kwa Uongozi wa Kiroho

  Kihistoria, Hali zote za Ufahamu zilitolewa na mtu ambaye alikua Enlightened; walikuwa mara nyingi wakijulikana kama Guru au Masters. Enlightenments ilielekea kuwa adimu na ilikuwa kawaida kwa mwalimu kuamua wakati gani mtahajudi yuko tayari kupokea Nguvu ya Kiroho (mara nyingi hujulikana kama Neema). Njia hii bado inatumika leo na hufanya kazi vizuri kwa makundi madogo, lakini inakuwa na matatizo… Read more →